Niliona last week nikashangaa sana kwamba inakuwaje mpaka sasa bado wapo huku kwetu na wengine walikuwa na vitoto vidogo?
Hii inaenda kuathiri population yao pia maana Hawa watoto hawataweza kusafiri kuvuka mto Mara kwenda upande wa Kenya.
Wengi watakufa njiani .