Kuchelewa mazoezini na kumfokea kocha msaidizi yamweka pabaya Chama

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Za ndani huyu jamaa alidekezwa, kama kawaida yake akaendelea kuchelewa kwenye mazoezi, sasa juzi kayatatiba alidhani atanyenyekewa , kaenda mazoezini kachelewa halafu akamfokea kocha msaidizi, Kapama naye amekutana na dhahma hiyo hiyo.

Chama alipata kiburi kwamba hata akichelewa mazoezini hawezwi kuwekwa benchi kwasababu ana backup ya mashabiki.
 
Naona watu wanasema hivyo ila sidhani kama hizo taarifa ni sahihi. Timu inaenda mazoezini na basi la timu, mchezaji atachelewaje mazoezini? Ukisema juzi kachelewa, juzi Simba imecheza na Wydad na kabla ya hapo walikuwa kambini.

Kuhusu Kapama, ni muda sijamuona katika mazoezi ya Simba.

Nitarudi na tathmini yangu ya kile kinachoendelea ndani ya Simba.
 
Unaokoteza udaku huko. Simba baada ya game na wydad walirudi kambini. Amechelewa vipi mazoezi wakati kutoka kambini hadi uwanja wa mazoezi wanakwenda na basi la timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…