Kwa hiyo uongozi umesema uongo kuwa amefanya utovu wa nidhamu? Basi unayekataa hilo, wewe ndio utuambie ukweliTujue ukweli, Uongozi kama unaweza useme ukweli.
Hawajaainisha kosa la utovu wa nidhamu kama ni mlevi au hapendi mazoezi kama wanavyosema wadau wangekua wakweli wangesema hapo kuliko kuficha ficha mambo ila Chama...Kwa hiyo uongozi umesema uongo kuwa amefanya utovu wa nidhamu? Basi unayekataa hilo, wewe ndio utuambie ukweli
Chama Hana kiwango cha kucheza Tena Simba.Ila ningefurahi angeagwa kwa Heshima kama kina Thadeo Lwanga ,Kagere na wengine maana ametufanyia mengi mazuri yaliyotukuka.Haihitaji akili nyingi kujua kuwa Kwa Ustawi wa Simba Chama na Na wenzie hawahitajiki tena Simba
Sijakataa! ili kumaliza utata ni vyema Mashabiki tukaambiwa utovu wa nidhamu upi?Kwa hiyo uongozi umesema uongo kuwa amefanya utovu wa nidhamu? Basi unayekataa hilo, wewe ndio utuambie ukweli
Ni muda sahihi Simba tuachane na Chama. Hakuna marefu yasiyo na ncha sote tutapita team itabaki. Kama yanga wanamtaka aende huko.Za ndani huyu jamaa alidekezwa, kama kawaida yake akaendelea kuchelewa kwenye mazoezi, sasa juzi kayatatiba alidhani atanyenyekewa , kaenda mazoezini kachelewa halafu akamfokea kocha msaidizi, Kapama naye amekutana na dhahma hiyo hiyo.
Chama alipata kiburi kwamba hata akichelewa mazoezini hawezwi kuwekwa benchi kwasababu ana backup ya mashabiki.
ziko mbali sanaJaman wangesubiri kwani match za makundi ziishe, aaah
Kuharibiana moos tyuuh huku. Lol
Kudai maslahi ni utovu wa nidhamu? Umeambiwa ni utovu wa nidhamu, vinginevyo kama unahisi si ukweli, muulize ChamaSijakataa! ili kumaliza utata ni vyema Mashabiki tukaambiwa utovu wa nidhamu upi?
what if walikuwa wanajaribu kudai maslai yao?
Ndio maana ili kuondoa utata Simba watuambie, kuepusha sisi mashabiki kujenga assumptions zisizokuwa na kichwa wala miguu.Kudai maslahi ni utovu wa nidhamu? Umeambiwa ni utovu wa nidhamu, vinginevyo kama unahisi si ukweli, muulize Chama
Huyu jamaa aachwe tu,kumbuka walipokuwa kwenye pick yeye na Miquison,Miquison yupo Al Ahly na Yeye yupo Berkane halafu wanaikejeli Simba Instagram,kila dirisha la usajili anaanza kutingisha kiberiti,huyu ni wa kumwachaNi muda sahihi Simba tuachane na Chama. Hakuna marefu yasiyo na ncha sote tutapita team itabaki. Kama yanga wanamtaka aende huko.
Mwenyewe anasema anaipenda Yanga.Kila mtu anasema lake!
vipi Chama mwenyewe anasemaje kwani?
Kule mshatoka tayari.Jaman wangesubiri kwani match za makundi ziishe, aaah
Kuharibiana moos tyuuh huku. Lol
Anataka Zoazoa akae benchi?
Sure ni vyema kumuaga vizuri.Chama Hana kiwango cha kucheza Tena Simba.Ila ningefurahi angeagwa kwa Heshima kama kina Thadeo Lwanga ,Kagere na wengine maana ametufanyia mengi mazuri yaliyotukuka.
Genta inabid akubali yaishe,ahaamie fbGenta kasha wekwa kolokoloni anabweka ndani ya tenga
Kuna Yule anaeleta habari za ndani yupo wapi siku hizi amepotea?Naona watu wanasema hivyo ila sidhani kama hizo taarifa ni sahihi. Timu inaenda mazoezini na basi la timu, mchezaji atachelewaje mazoezini? Ukisema juzi kachelewa, juzi Simba imecheza na Wydad na kabla ya hapo walikuwa kambini.
Kuhusu Kapama, ni muda sijamuona katika mazoezi ya Simba.
Nitarudi na tathmini yangu ya kile kinachoendelea ndani ya Simba.
ligi ya mabingwa chama hana la maana zaidi ya kuwakaba wenzake.Jaman wangesubiri kwani match za makundi ziishe, aaah
Kuharibiana moos tyuuh huku. Lol
daaah..... nyie wanawake......huwa haya mambo mnayweza sana. mmalizane huko huko. maana hakuna ushahidi hata mmoja ni umbea tu kama kawaida yenu mkikaa mnasukana...Za ndani huyu jamaa alidekezwa, kama kawaida yake akaendelea kuchelewa kwenye mazoezi, sasa juzi kayatatiba alidhani atanyenyekewa , kaenda mazoezini kachelewa halafu akamfokea kocha msaidizi, Kapama naye amekutana na dhahma hiyo hiyo.
Chama alipata kiburi kwamba hata akichelewa mazoezini hawezwi kuwekwa benchi kwasababu ana backup ya mashabiki.