Kuchelewa tena kwa ajira za ualimu 2015

Status
Not open for further replies.

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Mwaka jana ajira hizi zilitoka tarehe 16 mwezi wa 3, na serikali kufanya jambo jema kwa kutoa tamko juu ya kuchelewa. Kwakuwa inaoneka wazi kuwa ajira hizi zimechelewa tena,

tunaomba serikali kupitia wizara husika iseme neno juu ya kuchelewa kwa ajira hizi ili watu wafahamu kinachoendelea.
 
Labda ukute siyo serikali ninayoifahamu ya ccm....

Nafikiri wasipofanya hivyo ndani ya wiki hii watakua hawajatenda haki kwa uma wa watanzania wanaotegemea walimu kukomboa watoto wao.
 
Hahaaaaa itakuwa ni ajabu wakitoa kesho in summary Ccm wamefilisika
ajira ni kesho yaan post zitatoka kesho

Jaman usidanganye wenzako... Waalimu tafuten alternative... Ccm wamefilisika
 

yan hata kama ajira ni mwezi wa kumi siriKaLi ingetoa tamko kuliko nw watu tupo roho juu
 
Yani walimu hamjui kwamba mnatakiwa mfanye nini mpaka sasa kweli kazi ipo, kwa serikali hii inayoendeshwa kwa matukio mtasubiri sana na kupeana kalenda kila siku acheni upuuzi unganeni mdai haki yenu.
 
Reactions: BAK
Hawana hela hawa wahuni baada ya kukomba kila senti ndani ya hazina na hii pesa $44 million watakayopokea toka kwa wafadhili yote itaelekezwa kwenye kampeni za kura ya maoni na uchaguzi mkuu 2015.

Hivyo hiki kilio cha "serikali haina pesa" kitaendelea kwa miezi mingi ijayo.
 
Yani walimu hamjui kwamba mnatakiwa mfanye nini mpaka sasa kweli kazi ipo, kwa serikali hii inayoendeshwa kwa matukio mtasubiri sana na kupeana kalenda kila siku acheni upuuzi unganeni mdai haki yenu.

Now wanatengeneza picha jingine .....si unajua bongo tuna movie nyingi now utasikia ugaidi tena ili kuwapoteza attention
 
Endeleeni kusubiri,mwenye subira hua hachoki,ukishindwa nenda private school. Serikali hua tuna mipango yetu,tunaandaa fedha zenu,au mnataka ajira bila fedha! Mtaripoti vituoni tarehe 1 may mwaka huu .
 
Kama btp imezingua msitegemee ajira kutoka mapema may mwez be ocktoba kwani wanatafuta kick ya uchaguzi
 
Sa ivi tunashughulikia daftari la wapiga kura
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…