BREAKING NEWS!
ajira zaidi ya elfu 36 za walimu zilizokuwa zitangazwe katikati ya mwezi huu zasitishwa kutokana na dosari zinazoelezwa kuwa ni baadhi ya vyuo hasa vya shahada kushindwa kuwasilisha matokeo ya wahitimu hadi leo hii. Hivyo wizara imesitisha ajira hizo hadi pale dosari hiyo itakaporekebishwa.
Chanzo: TBC-1 (17.03.2015 saa tisa na dk 48)
Ikiwa tofauti na miaka mingine mwaka huu 2014/2015 ajira za ualimu bado ni fumbo lisilofumbuka,
Ilikuwa ni jambo jema kama wahusika wangeweka wazi jambo hili ili wahusika wajue la kufanya maana kwa waliosoma private wametumia pesa nyingi mfano ada ya chuo cha ualimu kwa ngaz ya DSE na G.3A ktk vyuo binafsi (private) ukiishi ndani (hostel) ni ml 2 na lak1 mwaka X 2= ml 4.2 ...kiasi hiki ni mtaji ambao ungeweza kumkomboa mtoto wa masikini kwa kujiajiri, mbaya zaidi ni vigumu kujiajiri kupitia taaluma hii ya ualimu, so serikali iwe future plan na kufikiria watoto wa masikini ambao wazazi wanauza mali za kudumu ili vjana wasome na hatimaye hakuna return.ya investment kwa vjana, milion 4.2 ukifungulia duka unaishi bila tatzo japo ktk hali ya kimasikini lkn wao hawajal hilo!! Its so paining