Fndibalema
New Member
- Feb 29, 2012
- 3
- 0
Katika nchi yenye serikali ambayo inawajibika kwa wananchi wake haiwezi fanya makosa ya aina moja kila siku.Yaani nimeandika habari hii kutokana na mateso wanayopata wanafunzi wa vyuo kutokana na kucheleweshwa kwa pesa ya kujikimu.mfano mzuri ni chuo kikuu cha ST. Augustine cha Mwanza leo ni wiki ya pili tangu chuo kifunguliwe na masomo yameishaanza lakini wanafunzi hawajapata pesa hizo huku uongozi wa bodi ya mikopo ukidai serikali haina hela hizo kwa sasa, na vilevile UDSM leo ni siku ya tatu wanafunzi bado wako mkoani hawana nauli ya kurudi na wengine wakihaha kutokana na njaa.Hivi kweli serikali inawajibika ipasavyo??na nini kitafata baada ya wanafunzi kushindwa uvumilivu??yangu macho je wadau hii iko sawa kweli??kumbuka wanenu wanateseka vyuoni.:A S 465: