Don chandra
New Member
- Nov 20, 2024
- 1
- 2
Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha wanafunzi kushindwa kumaliza kulipa ada, na hasahasa kukosa mahitaji ya msingi ya maisha kitendo ambacho kinapelekea watu kuingia kwenye biashara hatarishi ili kukidhi mahitaji ya muhimu.
Bodi ya mikopo mpaka Sasa Iko kimya licha ya watu kulalamika huku yenyewe ikiendelea ku post maadhimisho ya miaka 20 ya HESLB bila kujali wanufaika wanateseka zaidi ya mwezi mzima Sasa. PAZA SAUTI KWA AJILI WA VIJANA WETU NA SERIKALI ISIKIE