Baba Johnson
New Member
- Dec 8, 2011
- 4
- 0
tanga jij bado hakueleweki wamesema hela bado hazijaja na mkurugenz amesema ametuma maafisa elimu watatu kufuatilia amesema labda baada ya siku saba taarifa za leo nimetoka kuripot
mkuu habari zako ni kweli tupu,
kwani hata mimi mwenyewe nimefika nikaambiwa hivyo hivyo, na mbaya zaidi nikaambiwa kuwa D E O alikuwa mkali kama mbogo kwa waalimu walioripoti tangu j5,
pia nimeambiwa kuwa mkurugenzi ni mchakachuzi balaa,
dah walimu tunakandamizwa sana ,
mwenye uwezo kutusaidia tafadhali