Kuchepuka gharama sana

Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Lakini tunatofautiana,hiyo 30,000 ya vinywaji na misosi mi namaliza kila kitu

NB:gest 7,000
 

Imeshanitokea hii, sema nae migenye yake ilikuwa imeshampanda ikabidi alipie gharama zotee na kunipa 50,000/= ya mafuta nikaongezea 20,000/= nikamnunulia mtoto wa dada yangu baiskeli used wakati ninarudi nyumbani
 
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Mimi nikitaka kuchepuka, naangalia ni hotel gani nilipanga kuchepukia. Namchukua mke wangu tunaenda kuchepuka mimi na yeye.

Maana kipya kinakua ni mazingira tu wala sio kitu kingine
 
Kweli hamna jipya.. Kuna siku nilitaka nipashe kiporo kwa ex wang.. Ila siku ya tukio nikaanza kujiuliza kuna kipi kipya, nikawaza hela ya lodge na risk ya wife kugundua nikajikuta nahairisha!!
Nguvu za kiume zikishukaga watu wanakuwaga na excuses nyingi......hahahaha! Mara oooh buchani mara dagaa. Daaah! Wacha rijali tule makitu.

Cc tempid
 
Kwani hamna chakula kingine kwa bei hii zaidi ya chips yai? Kumbe huu mtandao ni wa matajiri 30,000 haiwatoshi Kula wawili. Huwa unatumia bei gani na hoteli gani?
30k chakula na vinywaji kwa watu wawili? Bei ya vinywaji unaijua labda wanywe fanta baridi, sasa mateso yote ya nini unachepuka uku unajibanabana kimatumizi, ni heri ubaki njia kuu, ukipenda anasa penda na gharama zake... Ushauri wangu wanaume bakini njia kuu utapata thawabu maradufu

Happiness is a lifestyle
 
Mimi nikitaka kuchepuka, naangalia ni hotel gani nilipanga kuchepukia. Namchukua mke wangu tunaenda kuchepuka mimi na yeye.

Maana kipya kinakua ni mazingira tu wala sio kitu kingine
Now ua talking, good point

Happiness is a lifestyle
 
Kwani kinywaji gani wewe unakunywa ? Bia zetu moja 2000, hatunywi kidhiki bia mbili mbili zinatosha. Msosi hatuli kama Kesho hatutakula. Au humu nyinyi ni watu wa Hennesy na lobsters?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…