Kuchepuka kumesaidia ndoa yangu isivunjike

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kipindi cha nyuma nlikuwa sipend kabisa kuchepuka. Ilikuwa mpaka inaleta shida kwenye ndoa. Sasa mvua imenisababishia niwe nachepuka maana usipochepuka home unaweza jikuta unaingia saa 5 usiku hapo wife hakuelew. Kumbe kuna njia nyingi tu unachepuka unawah fika home kuliko kulazimisha kudrive njia kuu.
 
Ha ha ha haaaaaa! Kwa hiyo wife nae huwa anachepuka ili awahi kukupikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…