Kucheua

Kucheua

ngwilla

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
82
Reaction score
7
ninatatizo la kucheua kila ninapokula chakula chochote. nmekua nalo kwa muda mrefu si chini ya miaka 25. ukwel nasumbuka mana kila ninapokula mwili umejiweka kubehua si chini ya mara kumi. kero zaidi ninapokua hadhara napata ugumu mno kujizuia.

Naombeni msaada wa kujua chanzo na tiba ya tatizo hili na takwimu yake, asante.
 
nenda hospitali kacheck digestive system yako.
 
Back
Top Bottom