Kucheza cheza kwa vinyama mwilini

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari zenu, huenda ikawa hili jambo nalipitia mimi peke yangu au hata labda kwa wengine lakini wameshindwa kuliexpose public. Kuna aina fulani ya hali ambayo vinyama ktk sehemu za mwili (sehemu tofauti) zinacheza kwa kuhama

Kwa wale ambapo wamepitia au kusikia naomba tusaidiane chanzo na tiba
 
Muscles twitching sio ugonjwa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu nilikuwa najiuliza,je ikitokea usawa wa moyo si nakata moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…