Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
waswahili walisema, kula nanasi kwahitaji nafasi... sasa wenzangu namimi chumba kimoja, kitanda, kabati, stoool, meza na kila kilicho chetu humo humo... hilo kombolela utalichezaje? ukirusha mpira akishindwa daka mara puuu kabati la vyombo, glass mbili meng'emeng'e.
Sipati picha nyumba zetu hizi za Uswazi hata hazina ceiling board sijui mtacheza mchezo gani nyie wawili pasipo majirani kushare na nyie japo kwa kusikiliza au hata kuchungulia. Lakini pia watoto tunaokuwa nao kwa wale wenye watoto wakisikia kukurukakara wanaanza kuogopa wakijua Baba na Mama wanazipiga ngumi humo chumbani kama kweli kuna chuma isije kuwa ndio chumba na sebule. Basically this is for specific person and places