kuchimba dawa na madhara yake!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
403
Reaction score
86
kwa nini hakuna sehemu maalumu zilizojengwa kwa ajili ya wasafiri kukidhi haja zao??!!!(kuchimba dawa kama ilivyozoeleka)
tunapokuwa kwenye basi kila mmoja ana magonjwa yake,na magonjwa mengine huambukizwa kwa njia ya kinyesi au mkojo,hili swala la kundi kubwa la mabasi kuchimbisha dawa abiria wake sehemu mmoja tena vichakani hakuna choo hakuna maji hakuna huduma yoyote ya maana,uchafu na magonjwa yanaenea ovyo ni kitu ambacho kinatakiwa kiangaliwe upya,ili kujali afya za wasafiri,na kuepusha miripuko ya magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…