Ni tabia tena isiyotibika hata ufanyeje hawezi acha kufanya hivyo kama ni muongo. Kama umeshadanganywa zaidi ya mara mbili basi mpige chini anza life afresh
Inafuatana unacheat nini. Kuna wakati na hali ambazo - kwa kuangalia reaction za tunaohusiana nao -zinaonesha wazi kuwa ukisema ukweli mausiano yanaisha hapohapo. Katika khali kama hio, kwa mtu alie timamu utafanyaje!!
Lakini mwisho wa siku tunakubaliana kuwa hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Tunatofautiana tu maeneo ya mapungufu!!
Hakuna aliyemkamilifu, ila uongo ni mbaya sana kwenye mapenzi. pale unapokuwa huna maamuzi ya kujenga zaidi ya kubomoa. tuwe na maamuzi yatokayo rohoni siyo usoni.
Hii inategemea na mwanaume maana saa zingine unaweza ukajitahidi kufanya zaidi ya vile ambavyo ulikuwa unafanya kabla hamjaoana akakwamabia mbona leo umefanya tofauti, umeanza mambo yako, ukiuliza mambo gani? unaambiwa umalaya, hii inakufanya mtu automatically kuwa down wakati wa mpambano au mzee anatoka huko atokako hakuna mkamatano wala nini anagusa tu na kukuamabia geuka na sisi wakawake jamani hasikuambie mtu hata kama ni mjanja namna gani mwanaume akitaka kukufanya huwe down hatuna ujanja
Kwa wanawake wengine mwanaume asipochiti anaonekana dwanzi, mdebwedo, hana mvuto. Kuna wanawake wanapenda wanaume wanaochiti, ati ni wazuri ndio maana wanapendwa na wanawake kibao!