hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.
Tuko una vituko! teh teh teh. Nimeipenda hio ya dellah, haimkatai mtu.
nitajuaje huyu ni mpenzi wa chap chap na huyu is for keeps?
Ndio maana wanamosa beautiful things in the world kwa kuangalia urembo wa dukani! Umenikumbusha Song of Lawino Kongosho favourite.
Unaweza usipate hao masharobaro au misugardad, lkn mwisho wa siku ukapata real man!
hehehe huyu ndio Preta bana, kwakweli JF bila preta ni sawa na baselona bila Messibibi wee....inakuwaga shida sana......mimi huwa nasubiri tulewe chakari ndio shughuli iendelee....na ni mwiko kuover night....
hivi hizo gharama zote nilizotumia atanirudishia.......?
orayt....kama ni hivyo basi nywele nabond....kope will be there to stay.....
kucha zinahimili mikiki kwa siku tatu siku nne.....
kimbembe kinakuja kwenye hips na tumbo.....mama weeee......
Na mwanaume Gari la kuazima; gheto la mshikaji, fweza mkopo; halafu mnaenda vekesheni Ngorongoro.
Haya mkifika huko, libido boosted by dawa za kimasai!
Anyway; ngoja waje! Mimi najaribu kuwa as natural as l can, ili atakayenipenda anipende jinsi nilivyo!
kwani huwa tunakagua mshindi wa fashion show, au just having good time,
By the way nadhani all those wigs, kucha, n.k they can stay even more than a month, sidhani kama huwa ni tatizo kwa wadada
Bashaija nafurahi nimekupunguzia stress. nimekuona mahala unalia kweli kweli.
toa mawazo yako basi hujawahi kutana na sampuli hii unipe maujanja?
Nasikia siku hizi ni nyie mnatuwekea kwa siri kwenye vinywaji hizi dawa ili tuwe na nguvu za ziada za kuwafikisha. Ya kweli hayo Kaunga?
Mapenzi ya chap chap ni yale unakutana na mtu gafla, mfano club, kwenye basi, kwenye semina nk, mkazoeana na mmoja akaomba tundi mkakubaliana linaenda kesho. Mpenzi wa kweli ni yule mnaanza na kuambizana nakupenda, alafu unajibu 'nipe mda ntakujibu', then vinafuata vijizawadi, maneno matamu matamu kwenye simu, vijiouting, then baada ya wiki kazaa unakuja kujibu nimekukubalia, na kutokea hapo suala la tundi sio la kudiscuss tena...
hehehe huyu ndio Preta bana, kwakweli JF bila preta ni sawa na baselona bila Messi
I guess its the thought that counts.., yaani mtu unampenda ila anajaribu zaidi kuwa mrembo (au anapenda kuwa mrembo, ili uvutiwe zaidi), by the way sidhani kama kina dada huwa wanajipodoa ili kuwakoga wanaume wengine ni for their own self esteem na wengine ni kuwakoga washikaji wao kwamba wanakwenda with time.sun wu zinazokaa a month ni zile Original ambazo wanatumia watu kama akina Mwamvita.
Sie ambao mishahara ni laki 4 na nusu kwa mwezi ni full mchina. mara gundi sio ya
kutosha na the like. ndio woga unaingia hapo.
Mapenzi ya chap chap ni yale unakutana na mtu gafla, mfano club, kwenye basi, kwenye semina nk, mkazoeana na mmoja akaomba tundi mkakubaliana linaenda kesho. Mpenzi wa kweli ni yule mnaanza na kuambizana nakupenda, alafu unajibu 'nipe mda ntakujibu', then vinafuata vijizawadi, maneno matamu matamu kwenye simu, vijiouting, then baada ya wiki kazaa unakuja kujibu nimekukubalia, na kutokea hapo suala la tundi sio la kudiscuss tena...
Imeniuma bana Lizzy kulamba ban.
Back to topic,kuna siku niliopoa mzigo mumbai,yaani ilikuwa shughuli kuvua sari nusu saa mpaka ka niniliyu kanaishiwa nguvu.
Madem wa kibongo tushawazoea,mimi huwa ninawaambia watangulie chumbani wajiandae,nikiingia chumbani yuko kwenye shuka.