Nasikia siku hizi ni nyie mnatuwekea kwa siri kwenye vinywaji hizi dawa ili tuwe na nguvu za ziada za kuwafikisha. Ya kweli hayo Kaunga?
Imeniuma bana Lizzy kulamba ban.
Back to topic,kuna siku niliopoa mzigo mumbai,yaani ilikuwa shughuli kuvua sari nusu saa mpaka ka niniliyu kanaishiwa nguvu.
Madem wa kibongo tushawazoea,mimi huwa ninawaambia watangulie chumbani wajiandae,nikiingia chumbani yuko kwenye shuka.
Didn't know! Wa kwangu natafuta ya kumpunguzia. LOL
Kitu gani ambacho hukuvutia kwa mwanamke? Kile cha kwanza kabisa.
Leo nilismamia kesi ya mod flani (jina linahifaziwa) , aliingia mitini na hela ya watu ya mchango wa ndoa ya mkeka, kesi ilikuwa ngumu lakini dalili zinaonesha mod wetu atakuwa huru vere soon chini ya usmamizi wangu.klorokwini jeiefu loya vipi leo umeokoa wangapi dhidi ya kifungo?
Erotica,mimi niko tofauti na wanaume wengine,nimejifunza kuhusu kujitambua,namejieunza kupenda ni nini so najua ninachofanya.Wanawake wote kwanza nawatazama kwa utu wao,kisha kama nahitaji mahusiano siangalii mwili naangalia kama mwanamke anajitambua na kujua majukumu yake,hayo ndo ya muhimu kwangu.Mwili hauna nafasi kwangu kwani hauna mashiko.Hebu fikiria umevutiwa na chuchu saa sita anakuja kujifungua zinabadilika zinakua kama ndala,wewe unafikiri nini kinafuata?. . . . .
Uvivu ni adui mkubwa kwa ujenzi wa taifa....
kwa kweli nywele kucha nitatengeneza ila mahips ya bandia hapana kwa kweli,ili iweje sasa,naona kama sitakua namdanganya mtu bali najidanganya mwenyewe.
I guess its the thought that counts.., yaani mtu unampenda ila anajaribu zaidi kuwa mrembo (au anapenda kuwa mrembo, ili uvutiwe zaidi), by the way sidhani kama kina dada huwa wanajipodoa ili kuwakoga wanaume wengine ni for their own self esteem na wengine ni kuwakoga washikaji wao kwamba wanakwenda with time.
Hizi ni propaganda kaka. Nakuuliza nini cha kwanza kukuvutia kwa mwanamke?
Iwe mavazi, iwe macho, masaburi, upole, ucheshi. Ukitaja sio dhambi.
hayo ulioeleza sio wewe funguka usiogope.
Tatizo linakuja siku umenitongoza vyote hivo ninavo mwilini
hio confidence itoke wapi na hali najua viwezesha urembo vimecheza nafasi yake?
Wanajipodoa kwa ajili yao wenyewe kufeel good, marafiki zao na ku-appear presentable ila sio necessarily kumvutia mpenzi wao mfano mzuri married couples ile beauty box huwa inavutwa wakati wa kutoka na kwenda nje na sio wakati wa kuingia ndani (kwa baadhi) na wengine hata akiwa peke yake bila make-up anafeel naked (ni mazoea) na huwezi ukageneralize kwamba vipodozi ni mawindo ya mtu au kumvutia mtu, and mostly ni sababu ya mashoga zao na kuwakoga wenzao.sun wu,hivi unadhani wanawake wanajipodoa kwaajili yao wenyewe?Your wrong!
Pia ni moja ya njia ya kupanga uzazi! LOL
bibi wee....inakuwaga shida sana......mimi huwa nasubiri tulewe chakari ndio shughuli iendelee....na ni mwiko kuover night....
hivi hizo gharama zote nilizotumia atanirudishia.......?
Wanajipodoa kwa ajili yao wenyewe kufeel good, marafiki zao na ku-appear presentable ila sio necessarily kumvutia mpenzi wao mfano mzuri married couples ile beauty box huwa inavutwa wakati wa kutoka na kwenda nje na sio wakati wa kuingia ndani (kwa baadhi) na wengine hata akiwa peke yake bila make-up anafeel naked (ni mazoea) na huwezi ukageneralize kwamba vipodozi ni mawindo ya mtu au kumvutia mtu, and mostly ni sababu ya mashoga zao na kuwakoga wenzao.
Women and Beauty goes hand and hand and they will do anything to appear more beautiful regardless kama wapo mbele ya wanaume au in a cell for of women
How?Hebu niambie nijue?
hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.