Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
hio shida ndio inanipa shida. Shosti tatizo ni pale ambapo mnaenda kuspendi siku mbili tatu.
Gharama must Preta. awe amekodi gari ama lake yeye ndie inabidi a foot hio bili lasivo siendi.
queenkami una akili wewe! Hapo mimi hata sikufikiria. Si umeona nimesemaErotica duuh kwa kweli kwa style hiyo lazima mtu uwe na stress za kuwaza itakuwaje siku ya kukutana na huyo aliyekutamani kwa kujipigilia madude feki.
Hapo kwenye mahips ya bandia,naombeni mnieleweshe,hivi hayanuki na joto? au usafi wake unakuwaje ,unafua kila siku usiku ukilala au mtu unakua nayo mengi?kwa kweli nywele kucha nitatengeneza ila mahips ya bandia hapana kwa kweli,ili iweje sasa,naona kama sitakua namdanganya mtu bali najidanganya mwenyewe.
Nyaningabu ktk wadada walionyimwa mahips nadhani mim naongoza,niko kama namba moja lakini hainisumbui.Queenkami labda wewe umejaaliwa mahips ya ukweli...
Kumbe ni mjasiriamali? Ohh, hii post yako lakini imetulia
Leo nilismamia kesi ya mod flani (jina linahifaziwa) , aliingia mitini na hela ya watu ya mchango wa ndoa ya mkeka, kesi ilikuwa ngumu lakini dalili zinaonesha mod wetu atakuwa huru vere soon chini ya usmamizi wangu.
queenkami una akili wewe! Hapo mimi hata sikufikiria. Si umeona nimesema
nina mpango huo yani bado nakusanya mawazo mbali mbali hapa.
Hapo bold kwanza kuyaita Mapenzi unatohoa na kuchujua neno Mapenzi.
Hapo haina wasi wasi mbona. kama Preta alivosema kwanza mnakua mmelewa,
sidhani hata kama kuna kuvua nguo zote wakati wa kungonoka. Hayo ya pili ndio
hasa nataka kujua. Mana wa hivo mnaweza oga wote na mikeke kibao! Imagine
unaenda kuoga kope inadondoka. aibu!
Okada wewe wa ukweli. Hii nitaifanyia kazi. Ila nina swali, mwanamkeSi una pochi kubwa? wakati jamaa anajiandaa, na wewe unajifanya kwenda toilet, then unachojolea huko huko, na kuvaa utafanya hivyo hivyo.
Kama mashine yako inalipa na wewe mwenyewe umo, jamaa atasahau vyote hivyo.
Nakwambia ukweli wangu.....
Uvivu wa kufanya mapenzi ni birth control, nilikuwa namjibu Tuko!
DESIRABLE.., !!!, that's a relative term...Nakubali. Mimi ni mwanamke I understand better. selfesteem
as a reason ipo chini ya ile ya kuonekana desirable. I gurantee you.
That is wat poses the problem, knowing I look amost perfect while knowing
I have been enhanced by more than 50%. The question remains how do I get
that 50% off without feeling less of how I looked before?
teh teh teh. sasa unanishauri nifanyeje?
Kuna lots of swaggaz, wewe unapenda ziwe vipi?
My dear Okada......humu JF unavyoona avatar.....sio hivyo tupo.....nikikuwekea picha yangu halali utakimbia.....
aisee basi nakupongeza. keep it up.