Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Mchina oyeee!
Namshukuru Mungu najikubali na kujiamini nilivyo japo urembo natumia lakini maji yakipita tu nabaki kama nilivyo.

Naona Erotica anatakiwa aje umpe shule kuhusu hilo. Mjini hapa ukifanya kila kitu lazima ukazeekee kijijini maana ukianza kuzeeka utababuka na kuwa kama mti wa mpingo.
 
Sasa wewe unaona hiyo condition imekaa sawa sawa? Imekaa kibiashara zaidi. Labda ungesema kivingine...by the way, raha si mnapata wote kwahiyo mnatakiwa mlipie wote. Au mi ndo naota.!!!!

I am just being a woman hapa. Me I bliv a guy treats you the way wewe mwanamke
unataka kuwa treated. Ukijifanya unataka kuwa in control na ulipie kila kitu of coz atakuachia tu.
Mimi hio siwezi. nitalipa kama hana uwezo na it is in my power, i prefer a man taking care of me.
Ni kweli raha wote mnapata, ila mahusiano yanapendeza one awe more in control,
na i don't see it being a woman. Utakua hujanielewa mana yangu ama hujaelewa kabisa.
soma na post hii hapa chin niliyomjibu Okada.

 
Wangejua kusoma alama za ishara wangejua kirahisi. Mfano kila mwanaume anayedu nae hataki kurudia round ya pili, na haombi tena tundi...

Wengine wanajidai hamnazo,wakiona kimya hawajiulizi!
 

So Ndahani; hata with influence ya alcohol hujawahi kumistake urembo wa Dukani na natural, halafu asubuhi ukajiuliza kama ni same dada uliyechukua usiku?
 

This is too dangerous.... kwa jinsi wanaume wengi wanavyoenda YANGOI NA YANGO, UKIMWI is here to stay!
Mimi napena na mwanamke naye alipe japo kidogo, au hata ajivunge, sio awe mzigo 100%
 
Erotica, umenifanya nicheke sana hadi nimemwamsha mtoto,................. ngoja nimbembeleze nitarudi
 
It's kind of inexplicable...

It's just one of those things that you have to see in order to come up with a judgment...


Of this which would you prefer achana na mambo ya age angalia the person.

Swagga za Neyo's lady wa Miss Independent
Swagga za Obama'z Michelle
Swagga za former Ms Reddz Jocate
Swagga za Nicki Minaji or whoever ambae waweza mtaja.
 

Erotica, hayo maneno yako na hivyo unavyokula hiyo Lawalawa kichokozi, MIMI NIKO HOI KABIA HAPA, HUNA HATA HAJA YA kufikiria hilo wig na kucha utavuaje; nitakuchojoa mimi mwenyewe!
 
Of this which would you prefer achana na mambo ya age angalia the person.

Swagga za Neyo's lady wa Miss Independent
Swagga za Obama'z Michelle
Swagga za former Ms Reddz Jocate
Swagga za Nicki Minaji or whoever ambae waweza mtaja.

Hand's down Neyo's miss she got her own!!!

 
Last edited by a moderator:
Tuko and Eiyer enough of my sex life; turudi kwenye topic!

Kuna swali zuri Erotica kauliza, mara ya kwanza umemuona dada; what do u feel; Love au Lust? Tuanze na hapo kwanza!
 
Last edited by a moderator:
This is too dangerous.... kwa jinsi wanaume wengi wanavyoenda YANGOI NA YANGO, UKIMWI is here to stay!
Mimi napena na mwanamke naye alipe japo kidogo, au hata ajivunge, sio awe mzigo 100%


Mwanamke akikupenda kweli hawezi kua mzigo asilimia zote hizo believe me you,
atajitahidi kwa lolote hata kama una uwezo vipi. And of coz it is dangerous,
unadhani kwa nini wanawake wanaongoza kwa idadi ya waathirika? Yaani hadi leo ulikua hujui tu?
 
Erotica, umenifanya nicheke sana hadi nimemwamsha mtoto,................. ngoja nimbembeleze nitarudi


Nakusubiri swahiba. kumbuka kumuimbia unapombembeleza.
 

Si unajua tena mimi ni rei mani: Pamoja na mengine, nilidhani ni maumbile...
 

Sasa ukiwa unalipia si ndio unatuwa in control? What else do you need? Nilipie basi ujichukkulie utawala just for some few hours...you will never allow any man to control you again.
 
Erotica, hayo maneno yako na hivyo unavyokula hiyo Lawalawa kichokozi, MIMI NIKO HOI KABIA HAPA, HUNA HATA HAJA YA kufikiria hilo wig na kucha utavuaje; nitakuua mimi mwenyewe!


teh teh teh. blushing, blushing, blushing.
 
Tuko and Eiyer enough of my sex life; turudi kwenye topic!

Kuna swali zuri Erotica kauliza, mara ya kwanza umemuona dada; what do u feel; Love au Lust? Tuanze na hapo kwanza!

Could be both!
It all depends.
Ila lust is the easiest explanation...
Love (something inside) ni very subjective
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…