Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

Kuchokwa huku, CCM ijitafakari

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utapata tabu sana ndio kwanza 2023 Septemba . Unatakiwa uhesabu mpaka 2030 Desemba nadhani utakua umejiua kwa presha. Mama yupo mpaka 2030
 
CCM ni makini na haijawahi kuchoka kuipambania nchi na afrika kwa ujumla toka enzi na enzi

Kama ndivyo kulikoni kutokuwa tayari kuwa kwenye ushindani mazingira ya haki na usawa?
 
Unakuja na ngonjera za RRRR wakati unanyamazia ripoti yaCAG ya upigaji serikalini.
 
Sisi tunaomuambia ukweli ndiyo tunampenda sana tofauti na nyie chawa mnamsnitch tu
Ukweli mtu mnampa kashfa na matusi huo ndio ukweli? Hamuwezi kutumia lugha za staha kumueleza mtu ukweli mpaka mumkashifu? Ondoeni unafiki wenu hapa. Hata mimi mengi tu ya ukweli nimemshauri rais tena kupitia hapa hapa JF na ameyafanyia kazi ila nyie endeleeni na hiyo style yenu mkidhani ndio ujanja.
 
Back
Top Bottom