Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mbuzi ni mnyama anaeliwa na madhehebu ya dini nyingi, ni rahisi kununua mbuzi wa kula na familia kuliko ng’ombe, kwanza gharama pili mnaweza kula na kumaliza.
Andaa samaki kidogo kwa wasio kula nyama.
Andaa bakuli la kachum
Acha moto ukolee wote kabla ya kuweka nyama jikoni.
Nyama ya mbuzi ni nzuri iliwe ikiwa ya moto. Choma mguu ukiiva katakata uwapitishie watu wale.
Usiweke chumvi kwenye nyama, acha watu waweke chumvi wenyewe. Siri ya nyama choma ukila na chumvi nyingi una kinahi haraka.