Kuchoma mifuko ya Plastic kwa ajili yakuwashia moto

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Kuna tabia imezuka sehemu mbalimbali hasa uswahilini .......watu,wananchi wenye kipato kidogo, hasa wale wanaoshindwa kununua mafuta ya taa kwa matumizi ya kawaida, wameamua kuchoma mifuko ya plastic kwa ajili ya kuwashia majiko yao ya mkaa, ni jambo la kawaida kupata harufu za mifuko hiyo hasa wakati wa asubuhi ....... nini madhara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…