Kuchoma Sindano kwenye kiuno

Kuchoma Sindano kwenye kiuno

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
Habari za humu ndani wana jf.. mwenye uelewa tafadhali naomba anisaidie.

Nina rafiki yangu wa kike amechomwa Sindano kwenye kiuno chake juu kidogo ya Makalio yake, huwa naangalia sana ile sehemu bila kupata majibu Sasa nashindwa kuelewa kwakuwa kila nikimuuliza ananijibu " You don't wish to know ".

Mwenye uzoefu au uelewa wowote juu ya hili naomba anieleweshe tafadhali.

NB: Tafadhali usitumie lugha ya matusi, nimeomba tu msaada nieleweshwe sina nia yoyote mbaya kwa mtu. Kama huna jibu tafadhali keep calm. Asanteni.
 
unachotaka kueleweshwa ni kipi sasa?
 
I am sorry mkuu id yako inauhusiano wowote naunachotaka kujua.
 
Last edited by a moderator:
unashangaa mtu kuchomwa sindano kwenye msingi ??
 
Ni katika mazingira yapi mtu anachomwa sindano ya kwenye kiuno.

Kuna njia kadhaa za uchomaji sindano kulingana na lengo la uchomaji sindano...

Unataka madhara ya dawa yafanye kazi baada ya muda gani n.k

Tekiniki ambayo hutumiwa sana huitwa IM (intramuscular muscle routine)...

Tekiniki hii huwa na lengo la kufanya mwili ufyonze dawa nyingi kwa wakati mfupi ili kupata madhara ya dawa kwa haraka...

Sindano unayoiita wewe ya kiuno huitwa Dorsogluteal injection na ni moja ya tekiniki ya IM...

Jambo la muhimu huzingatia sana hali ya mgonjwa na wakati mwingine umri...

Kitu cha muhimu katika uchomaji ni kuhakikisha kwa namna yoyote huchomi sehemu yenye neva za fahamu...

thumbnail.aspx
 
Back
Top Bottom