Kuchomekea kadeti ni ushamba?

Kuchomekea kadeti ni ushamba?

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Wakuu wa jukwaa hili la utanashati habari za mida hii.

Kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kufahamishwa juu ya hilo swali nikivaa kadeti then nikachomekea na shati, kuna jamaa wanadai kadeti huwa haitakiwi kuchomekea shati .

Kwangu napata wakati mgumu maana nikichomekea ndio naona nimetokelezea Hii hali naona inajitokeza hata kwenye kuvaa jeans na kuchomekea naombeni mawazo kwenye kipengele cha utanashati hii ishu imekaaje ili nitokelezee zaidi.

cadeti.jpg
o-SNEAKS-570.jpg
 
Kuchomekea kunategemea na body shape ili uonekane vyema na umependeza.....

Mara nyingi huwa inawapendeza watu warefu kiasi na wasio vitambi......
 

Attachments

  • EADE9652-ACE3-40A7-A347-9F54B69030B1.jpeg
    EADE9652-ACE3-40A7-A347-9F54B69030B1.jpeg
    73.5 KB · Views: 266
  • 13EA4805-721D-4743-A1B1-48A2DE698612.jpeg
    13EA4805-721D-4743-A1B1-48A2DE698612.jpeg
    49.8 KB · Views: 262
Kuchomekea kunategemea na body shape ili uonekane vyema na umependeza.....

Mara nyingi huwa inawapendeza watu warefu kiasi na wasio vitambi......

Huyo kwanza kapendeza na anamwil mzuri ila hayuko makini jinsi anavyovaa shida imeanzia kwenye mkanda wake ni mwembamba kuliko hiyo sehemu ya kuingizia mkanda kwenye suruali ni nene kidogo ,pili kafunga mkanda afu kaacha unaning’ia ng’ia !!!!! Wenye tabia kama za huyo mjirekebishe kidogo
Huyu wa pili yupo smart saana inabid aongeze mwili kidogo hasa kifua [emoji12][emoji12] nguo zizidi kumkaa vizur zaidi
 
Hakuna kitu naona raha km nikimuona mkaka kachomekea kadeti( awe msafi lakini) ananukia kwa mbaaaaalii,,uwiii

Yeah ukichomekea sharti uwe msafi na smart sio vuluvulu
 
Sio ushamba!ni vile wewe mwenyewe utakavyopangilia huo mkato!ili uwe nadhifu.
 
mimi huwa navaa kadeti alafu nachomekea(hata leo nimevaa hivyo) tena kadet zangu nazipunguzaga kidogo urefu zinakua don't touch flani hivi kwa mbali,chini napiga moka na juu napiga shati (long sleeves) la draft (slim fit) bila kusahau ka saa mkononi fresh tu,nakua smart
 
Kadeti ukichomekea shirt, form 6 /Costa....na light t shirt una pendeza... Kikubwa "BE YOU! "
 
Wanataka uchomekee nn sasa!!

Ukisikiliza sana watu hata ugali hutokula!
 
Back
Top Bottom