Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Wakuu heshima kwenu,
Nimechomwa na sindano yenye kutu, ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi, nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingi.
Je, nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?