Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Maswali mengine!!Wakuu heshima kwenu,
Nimechomwa na sindano yenye kutu,ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi,nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingiii,je nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?
Mara ya mwishho kupata chanjo ya tetenasi ni lini ?Wakuu heshima kwenu,
Nimechomwa na sindano yenye kutu,ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi,nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingiii,je nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?
Ilikuwa mwezi wa 7, 2021Mara ya mwishho kupata chanjo ya tetenasi ni lini ?
Maswali mengine yana nini,wewe kama unaona hayana maana si upite kwani lazima ku comment,hovyooooMaswali mengine!!
Ichemshe hiyo sindano kisha jichome sehemu hiyo hiyo iliyokuchoma awali itakuwa umepona.
Mtu mzima hovyoooo,mxiiiiiuuIchemshe hiyo sindano kisha jichome sehemu hiyo hiyo iliyokuchoma awali itakuwa umepona.
Mzomee na huyo mtu mzima kileja alotaka picha,Mtu mzima hovyoooo,mxiiiiiuu
Pata chsnjo Mara mojaWakuu heshima kwenu,
Nimechomwa na sindano yenye kutu, ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi, nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingi.
Je, nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?
SitakiSindano ya tetanus ni muhimu,nenda kachome
Kwani ni wewe,acha hizo bossSitaki