pole kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa wakala mwenye kuweza kuchonga line, kurenew line na kusajiri line, kurusha vocha. maana nimekuwa nikiona vijana wengi wanapiga hiyo mishe nami nataka niiweke katika ka kioski kangu.