kuchonga,kurenew na kusajiri laini.......

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
pole kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa wakala mwenye kuweza kuchonga line, kurenew line na kusajiri line, kurusha vocha. maana nimekuwa nikiona vijana wengi wanapiga hiyo mishe nami nataka niiweke katika ka kioski kangu.
 
poleni kwa usumbufu niwapao kila leo, lakini yote hii ni katika kuelimishana na kupunguza misongamano ya kwenda kuulizia mahala husika kila ck, leo nahitaji nijue procedures za kufuata ili kuwa wakala mwenye kuweza kuchonga line, kurenew line na kusajiri line, kurusha vocha. maana nimekuwa nikiona vijana wengi wanapiga hiyo mishe nami nataka niiweke katika ka kioski kangu. hii ni kwa mitandao yote.
 
Ni pm namba yako nikupe laini ya airtel ambayo inauwezo wa kusajili, kurusha vocha na kuchonga line ila kama upo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…