Kuchuja mbu na kumeza ngamia - Serikali za Afrika

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Watawala wa Africa tofauti na viongozi wa "ulaya' wao wana mambo yao , wanaamini hivyo na huwaambii kitu!
  1. Vyeti feki --------matokeo Halali.
  2. Walimu feki ---- Wanafunzi Halali
  3. Phd Feki ------ Ubunge halali.
  4. Ubunge feki ----- Phd Halali
  5. Manabii feki -- Imani halali.
  6. Njia haramu -- Matokeo halali.
  7. Bunge Haramu -- Serikali halali.
  8. Sheria mbaya -- Hukumu halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…