Kuchukua bidhaa nje nakuuza nchini

Kuchukua bidhaa nje nakuuza nchini

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
165
Reaction score
98
Habarini wajamvi natumaini muwazima

Mimi nkijana mwenye umri wamiaka 20 najishughulisha nambishe zakuuza phone accessories na vitu vingine vya electronics ninamda wamwaka mmoja tokea nianze kazi hii sinaoffice ila Nina group la watsap ambalo nimewaad wanachuo wavyuo mbalimbali ambapo natuma bidhaa mbalimbali mtuakiipenda anaiagiza naenda kumletea kwabei tofauti nayadukani ila sasa nimeona nianze kusupply bidhaa Arusha nzima ila nlikua nataka nitumie mfumo ambao natangaza bidhaa ambazo zinauzwa nama kampuni ya nje kama eBay, alibaba na Amazon ambapo naingia kwenye website zao nachkua picha afunatanaza Facebook, insta na mitandao mingine ila kabla sijaanza hiyo kazi nilikua naomba ushauri je inalipa au nitatumia gharama kubwa alaf faida ndogo sababu mm nakua natangaza bidhaa mfano fridge mtuakiipenda naiagiza nje naletewa alaf na muuzia ## shukran sana naombeni ushauri##
 
inalipa au nitatumia gharama kubwa alaf faida ndogo sababu mm nakua natangaza bidhaa mfano fridge mtuakiipenda naiagiza nje
Kwa bidhaa kubwa kama hii, changamoto iko kwenye kodi/ vat baada ya mzigo kufika nchini. Wakati mwingine huzidi hata gharama ya manunuzi.
kama eBay ,alibaba na Amazon ambapo naingia kwenye website zao nachkua picha afunatanaza Facebook ,insta na mitandao
Changamoto iko kwenye njia ya usafirishaji, zilizopo sio rafiki kibiashara.
Ni vyema kama unaanza tumia zaidi site kama ALIEXPRES

Changamoto pekee iko kwenye muda wa bidhaa husika kukufikia, wakati mwingine inachukua wiki 5 hadi 6.
 
Mwalimu mi nili agiza bidhaa ya bei ndogo kabisa na imefika posta.cha kushangaza naambiwa nirnde na pesa ambayo ni kubwa zaidi ya ile bidhaa nilonunilia nimeona niwwachie tu.+ nauli naona ntatumia mara tatu ya gharama ya bidhaa niliyonunulia
Kwa bidhaa kubwa kama hii, changamoto iko kwenye kodi/ vat baada ya mzigo kufika nchini. Wakati mwingine huzidi hata gharama ya manunuzi.

Changamoto iko kwenye njia ya usafirishaji, zilizopo sio rafiki kibiashara.
Ni vyema kama unaanza tumia zaidi site kama ALIEXPRES

Changamoto pekee iko kwenye muda wa bidhaa husika kukufikia, wakati mwingine inachukua wiki 5 hadi 6.
 
Mwalimu mi nili agiza bidhaa ya bei ndogo kabisa na imefika posta.cha kushangaza naambiwa nirnde na pesa ambayo ni kubwa zaidi ya ile bidhaa nilonunilia nimeona niwwachie tu.+ nauli naona ntatumia mara tatu ya gharama ya bidhaa niliyonunulia
Shukran kiongoz
 
Nafikiri ni vizuri ukafanya uchunguzi wako binafsi kuhusu hiyo biashara yko na kupiga mahesabu kwa makini kwa kufanya hivyo utagundua kama utaingiza hasara au faida
 
Shukran mkuu nmeuliza sababu nmeangalia eBay kunabidhaa beirahc sana shda usafrishaj ndosjawaelewa kuwa wananlete had nlipo au wananiachia bandarin
Nafikiri ni vizuri ukafanya uchunguzi wako binafsi kuhusu hiyo biashara yko na kupiga mahesabu kwa makini kwa kufanya hivyo utagundua kama utaingiza hasara au faida
 
Back
Top Bottom