Habarini wajamvi natumaini muwazima
Mimi nkijana mwenye umri wamiaka 20 najishughulisha nambishe zakuuza phone accessories na vitu vingine vya electronics ninamda wamwaka mmoja tokea nianze kazi hii sinaoffice ila Nina group la watsap ambalo nimewaad wanachuo wavyuo mbalimbali ambapo natuma bidhaa mbalimbali mtuakiipenda anaiagiza naenda kumletea kwabei tofauti nayadukani ila sasa nimeona nianze kusupply bidhaa Arusha nzima ila nlikua nataka nitumie mfumo ambao natangaza bidhaa ambazo zinauzwa nama kampuni ya nje kama eBay, alibaba na Amazon ambapo naingia kwenye website zao nachkua picha afunatanaza Facebook, insta na mitandao mingine ila kabla sijaanza hiyo kazi nilikua naomba ushauri je inalipa au nitatumia gharama kubwa alaf faida ndogo sababu mm nakua natangaza bidhaa mfano fridge mtuakiipenda naiagiza nje naletewa alaf na muuzia ## shukran sana naombeni ushauri##