Naombeni msaada wakuu nahitaji mkopo bank kwa kuweka bond kiwanja changu hekari 2 ambacho hakina hati miliki nilikinunua tu kawaida kwa kupata barua za Mwenyekiti wa serikali ya mtaaa
Naombeni msaada wakuu nahitaji mkopo bank kwa kuweka bond kiwanja changu hekari 2 ambacho hakina hati miliki nilikinunua tu kawaida kwa kupata barua za Mwenyekiti wa serikali ya mtaaa
Kwa bank za community(za vijijini) hilo linawezekana mfano Mwanga Community Bank, Mufindi Community bank n.k na hizi micro finance bank/Institutions za humu mijini, ila sasa RIBA yake itakuua na hutoinuka tena.
Pamoja na huo udamini wa kiwanja chako, oia watahitaji vigezo vingine e,g uwezo wako wa kulipa, biashara gani wafanya? aukama utalipa kwa mshahara n.k
Fanya Utaratibu upate hati miliki ya Makazi/au hati ya kimila zote zinatabulika.