JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
nimeshasikia baadhi ya watangazaji wa redio wanapozungumzia tukio mfano ''pambano hilo litachukua nafasi kwenye uwanja mpya wa taifa'' hapo wakiwa na maana kuwa litafanyika.je huku ''kuchukua nafasi'' sio tafrisi ya moja kwa moja kutoka take place kwenye kiingereza?