sidhani kama wanatoa mzee mpaka uende mwenyewe,ila ukituma akakuwekee poowa inaruhusiwa.Ndugu wadau au yeyote mwenye uelewa:
Naomba kujua, hivi inawezekana kuchukuliwa pesa toka kwenye account yangu na mtu mwingine(rafiki/ndugu) bila kutumia ATM (yaani kwa cashier)? Ni vitu gani vinatakiwa kufanya kama nataka kumtuma mtu akanichukulie pesa yangu maana nimeshindwa kwenda bank mwenyewe na ATM card yangu naambiwa imeisha muda wa kutumika kwake. Asanteni.
sidhani kama wanatoa mzee mpaka uende mwenyewe,ila ukituma akakuwekee poowa inaruhusiwa.
No way hapo inabidi uende mwenyewe
Ndugu wadau au yeyote mwenye uelewa:
Naomba kujua, hivi inawezekana kuchukuliwa pesa toka kwenye account yangu na mtu mwingine(rafiki/ndugu) bila kutumia ATM (yaani kwa cashier)? Ni vitu gani vinatakiwa kufanya kama nataka kumtuma mtu akanichukulie pesa yangu maana nimeshindwa kwenda bank mwenyewe na ATM card yangu naambiwa imeisha muda wa kutumika kwake. Asanteni.
Mkuu lazima uende mwenyewe maana watu siku hizi hawaamini mkuu,au kama vp inabidi umuendorse m2 lkn hiyo ni CRDB maana nilishagafanya hivyo pamoja na kutuma passport (copy) yangu na visa ninapokaa au permit na ilichukua muda lkn kama uko Bongo mkuu inabidi uende mwenyewe
Ndugu wadau au yeyote mwenye uelewa:
Naomba kujua, hivi inawezekana kuchukuliwa pesa toka kwenye account yangu na mtu mwingine(rafiki/ndugu) bila kutumia ATM (yaani kwa cashier)? Ni vitu gani vinatakiwa kufanya kama nataka kumtuma mtu akanichukulie pesa yangu maana nimeshindwa kwenda bank mwenyewe na ATM card yangu naambiwa imeisha muda wa kutumika kwake. Asanteni.
Kwa NMB inawezekana kabisa. Nina uhakika na hili labda wawe wamebadilisha utaratibu mwaka huu. Kuna jamaa mmoja alikuwa masomoni nje ya nchi akawa-direct bank wampe mtu fulani pesa na walimpa. Mimi pia nilishawahi kuwaangiza benki wahamishe pesa toka kwenye akaunti yangu kwenda kwenye akaunti ya mtu mwingine na wakafanya. Walichotaka kutoka kwangu ni barua, copy ya passport yangu na copy ya kadi yangu ya benki. Wasiliana na Tawi lako ujue watataka nini kutoka kwako ila inawezekana kabisa.
mmh,sijui lakini mimi nilituma jamaa kuchukua pesa na kadi yangu ya atm nbc walikataa kabisa na nikapiga simu pia walisema hawatoi labda nifungue acc mpya nimkabidhi huyo mtu.Kwa NMB inawezekana kabisa. Nina uhakika na hili labda wawe wamebadilisha utaratibu mwaka huu. Kuna jamaa mmoja alikuwa masomoni nje ya nchi akawa-direct bank wampe mtu fulani pesa na walimpa. Mimi pia nilishawahi kuwaangiza benki wahamishe pesa toka kwenye akaunti yangu kwenda kwenye akaunti ya mtu mwingine na wakafanya. Walichotaka kutoka kwangu ni barua, copy ya passport yangu na copy ya kadi yangu ya benki. Wasiliana na Tawi lako ujue watataka nini kutoka kwako ila inawezekana kabisa.
mmh,sijui lakini mimi nilituma jamaa kuchukua pesa na kadi yangu ya atm nbc walikataa kabisa na nikapiga simu pia walisema hawatoi labda nifungue acc mpya nimkabidhi huyo mtu.