Kuchunga mbuzi ni kazi ngumu sana

Q Man hiyo picha hapo ni wapi? kama unapajua, aisee tunaweza kutengeneza web page ya kivutio cha utalii (addition ya maajabu 7) tukapata fedha ya watalii!
 
Umenikumbusha mbali sana kwa mara ya kwanza nikiwa na miaka 9 tulienda kijijini.. Baada ya kukaa siku kama 2 hivi; babu yangu aliniambia nifungulie mbuzi kutoka kwenye zizi na KUWACHUNGA hapo jirani na nyumba

basi mie kwa akili zangu za mjini nilijua kuchunga ni KUWACHAPA bakora tu.. Na ikapelekea mbuzi kutawanyika na kukimbia kwenye mashamba ya watu hadi taarifa zilipofika nyumbani ndio wakaja kunisaidia
 
hawa mbuz wamenshangaza, cjaelewa eti
 
Wanachukua mazoezi ya kukimbia noma siku za sikukuu:becky::becky:
 
Mbuzi gani anapanda juu ya mti wakati miguuni mwake kuna skuna. Hao watakuwa mbuzi wakutoka kule nanihiiiiiiiiiiii. Mt
 
Si ngumu kama kuchunga paka.

Hasa paka wa JF!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…