Hao ni mbuzi vijana ni wasumbufu lakini Mbuzi Mzee sio msumbufu...
Mbuzi Mzee, wakanye wajukuu zako, wataanguka wapate-fracture.
kama sikosei dizaini hii ya mbuzi wanapatikana Afrika Kaskazini na hasa Tunisia, lakini unajua utandawazi na wetu wanaweza 'kuiga' pia?hao ni mbuzi au migebuka?