mkuu domh6e, hayo nishajaribu, anasema anapenda lisikilizia toka mbali. Wawezadhani nistori bt huu ndio ukweli wa mambo! Kiukweli simwelewi huyu binti, nampenda bt tabia yake hii km penzi wake inaniboa sana!
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya faragha pindi lipigwapo. Yan anapenda kulicheza kupita kiasi then ananiboa sana! Hapa sijui nifanyeje na siwezi kuhama mtaa kwa sasa coz nshalipa ankara ya mwaka mzima tayari, kweli huyu mwanamke ananichanganya akili!