Kudai Katiba Mpya siyo lelemama. Je, CHADEMA ina Watu (Umma)?

Kudai Katiba Mpya siyo lelemama. Je, CHADEMA ina Watu (Umma)?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.

CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.

Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri (vimeufyata)

Swali: Je, Chadema ina Watu?
 
Ni upepo unaovuma Kwa Kasi ya 750km/hr waeeza sema ni zaidi ya htsunami😆
 
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.

CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.

Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri ( vimeufyata)

Swali: Je, Chadema ina Watu?
Maswali MENGINE NI YA KIJINGA SANA
 
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.

CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.

Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri (vimeufyata)

Swali: Je, Chadema ina Watu?
Hata wadipoipata sasa hii mkvent itasaidia kupata vyama vikuu viwili, CCM na CDM.
 
Kwan katiba niya chadema au ni kwajiri ya watanzania wote wacha izo bana

Wananchi wakiona umuimu wa katiba mpya wataidai na wakiidai akuna atake wazuia sio polisi sio CcM wala sio Chadema

Nazan kwa sasa katiba mpya sio kipaumbele cha wananchi ila ni kipaumbele cha wanasiasa ndo maana unauliza chadema inawatu
 
Back
Top Bottom