johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maswali MENGINE NI YA KIJINGA SANAKuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.
CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.
Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri ( vimeufyata)
Swali: Je, Chadema ina Watu?
Au wewe ndio binadamu mjinga?!Maswali MENGINE NI YA KIJINGA SANA
Nguvu hawana lakini wanaushawishi mkubwa snMuda ni hakimu tusubiri waruhusu tuone nguvu ya Chadema.
mbona walishindwa uchaguzi wa 2020CHADEMA nawakubali sn hawajawahi kushindwa
Kulikuwa na uchaguzi au kulikuwa na vita pekeembona walishindwa uchaguzi wa 2020
Uchaguzi upi huo 2020? Tukumbushane wajameni.mbona walishindwa uchaguzi wa 2020
Nguvu hawana lakini wanaushawishi mkubwa sn
kwaiyo CHADEMA walishindwa vita?Kulikuwa na uchaguzi au kulikuwa na vita pekee
Hata wadipoipata sasa hii mkvent itasaidia kupata vyama vikuu viwili, CCM na CDM.Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.
CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.
Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri (vimeufyata)
Swali: Je, Chadema ina Watu?