Pre GE2025 Kudanganya wananchi eti kutakuwa na mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi au Katiba Mpya ni utapeli wa kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
naona huruma sana wananchi kutapeliwa pesa na kudanganywa ati hapatakuepo uchaguzi na vibaka wa kisiasa
Kushabikia siasa kwamba itabadili maisha yako ni utindio wa ubongo siasa ni mfumo uliundwa na wahuni wachache kuwapiga wajinga wengi
 
kwenye masuala ya kikatiba hakuna suala la kudhani gentleman,

hayo mengine ya ibadani kwako si muhimu kwa wengine

Wapinzani wana wahadaa wananchi
tumezoea kuona wakisusia mengi, kule bungeni, ktk utengenezaji wa katiba
kususa ni kumpa mpinzani point 3, hakuna maana

jiulize siku zote walikuwa wapi kutoa hy hoja. Ukiwa na akili za ziada utajua tu huyu mpinzani\cdm na mpinzani wake wote wamoja
 
No reform no election.
 
akili za kuambiwa changanya na zako right?
 
Kushabikia siasa kwamba itabadili maisha yako ni utindio wa ubongo siasa ni mfumo uliundwa na wahuni wachache kuwapiga wajinga wengi
hatari sana,
vijana wanapumbazika kirahisi hadi huruma, kisha wanakua wavivu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…