Kudanganya......

uongo mtamu ....
uongo unapunguza uchungu .....

....unapodanganywa kwa maneno ya "Uongo" pia unaupunguza uchungu?:what:

Naamini wengi wetu twavumilia kudanganywa kwa maneno yanayofanana na "ukweli" pekee..
 

.....hahaha, .....ati uongo wa kujazilia.....😀
 
I'd rather u keep quite than kudanganya (siku hizi nazeeka nakuwa msahaulifu ntakamatwa tu!). Mbona kuna njia rahisi tu ya kukwepa kusema ukweli bila kudanganya? Ukiulizwa uko wapi, unajichekelesha na kusema 'umeshanimisi eeh? Unafanya nini darling', mbona anasahau swali lake la msingi anajibu la nyongeza! Lying is bad, nikoishadanganywa nakuweka kwenye kundi hilo tu! Ukisema uko kwenye mataa ya morocco I don't expect u to be! So najipimia muda wa kufanya nnachotaka na nnachojisikia kufanya.
Kama madhara ya kusema ukweli ni makubwa kuliko kusema uongo, we danganya tu! Ila usikamatwe.
 

.....kamanda, je unapodanganywa nawe wajua unadanganywa----Unajiskiaje?
 
mtu anajua kabisa ye labda ni wa 30 kwenye list ya waliopita hapo, lakini ukimwambia hivyo ananuna! sasa mtu kama huyo umfanyaje, ni kumwambia tu we ni wa 3 tangu kuzaliwa! pathetic! especialy watoto wa kike, hatuwezi kuacha kudanganya, smtimes its a must!
 
.....kamanda, je unapodanganywa nawe wajua unadanganywa----Unajiskiaje?

...nikiwa bado sijatimiza malengo yangu najifanya mjinga tu ile maneno yatimie.
 
Reactions: Mbu
hahahaha hommie bana!
 
Big boy, don't u ever trust the judge! Unadhani akikiri kuwa kaua ndo ata-walk free? Hapana aisee!

Mie sichukulii kama ni madharau kwangu, najijua ligi nnayocheza ni UEFA, ukileta ligi za kombe la jogoo nakuangalia nacheka tu. Tena dawa ya muongo akikudanganya mpe that killer smile tu afu usiulize tena, manake anataka ubishe ili akishawishi na 'uongo wa kujazilizia' originated from First Lady,lol! Next time usiulize, u know the answer. Unamuacha ajiulize yeye
 
Reactions: Mbu

......hahaha, Mbu nilivyo na asili ya ubishi....nitaendelea kukuuliza nawe uendelee kujiuma uma (kwakuwa naujua ukweli)....mpaka utapokiri ulidanganya.

I dont give up easily aisee,....
 
ohooo kumbe ...kuna mtu kaniambia ameninunulia prado ipo bandarini japan ..kumbe ananidanganya eeh?
 
...nikiwa bado sijatimiza malengo yangu najifanya mjinga tu ile maneno yatimie.

Hahaha, Got you well and Clear.....
Hapo tupo ukurasa mmoja.

Mbu najikubalisha kudanganywa pale tu 'ninapotaka'...
 
Hahaha, Got you well and Clear.....
Hapo tupo ukurasa mmoja.

Mbu najikubalisha kudanganywa pale tu 'ninapotaka'...

Na wao wenyewe wanakubali kudanganywa ili malengo yao yatimie mfano mtu anadanganya sina mke ili hali kwenye kidole kuna pete ya ndoa na huyu anae danganywa anakubali ili malengo yake aliyo jiwekea kichwani yatimie.
 

....hehehe....

Uongo huu 'nishadanganyiwa' nao sana, sawa na ule '...sijawahi nanihiwa kama unavyoninanihii (matusi) wewe!".... imekuwa kama chorus vile....😀

....uongo huo naukubali bana, "kula n'kule!"..
 
wakati mwingine ili kuleta amani ndani ya nyumba inabidi udanganye...leo hii kila mtu angekua mkweli ungekuta hakuna amani
 
Reactions: Mbu
ohooo kumbe ...kuna mtu kaniambia ameninunulia prado ipo bandarini japan ..kumbe ananidanganya eeh?

...na mnavyo penda Prado short cheses wanawake mujini hapo utaishia kumegwa jamaa akisha kukifu/kinai huyoo anahamia kwa Bi Mwavua
 
Huwa pananoga pale unapomdanyanya mtu halafu na yeye anajua kabisa kuwa unamdanganya na yeye anakudanganya!!
 

Sawa....
Kwangu mimi kukaa kimya ni aina ya uongo!
Yaani kwa mfano natoka na mtu halafu simwambii yale mambo ya msingi kuhusu mimi, yale yanayohusu uhusiano!
Kuficha ukweli ni uongo pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…