CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,923
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno yalinichanganya na wanywaji wale hawakunisaidia kuelewa japo sikuwa nimelewa. Nini tofauti ya hizi hali na madhara yake?
kudekeshwa automatically kunaletwa maringo and not vice versa. I have live evidence on this I can vouch for
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno yalinichanganya na wanywaji wale hawakunisaidia kuelewa japo sikuwa nimelewa. Nini tofauti ya hizi hali na madhara yake?
Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
Watu kazi kutazama ya wengine, mke wa jamaa akiringa, au asiringe inawahusu nini.
Kadekezwa na mme wake au asidekezwe...ni mke wake sio wenu.
Afu cha jabu wanaume ndo wanao ongea maneno hayo, yani ajabu siku hizi wanawake wamekuwa hawana maneo kama
wanaume, kweli dunia inaenda kwenye speed za mwisho.
Khaaa! Imekujaje tena?..Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
Watu kazi kutazama ya wengine, mke wa jamaa akiringa, au asiringe inawahusu nini.
Kadekezwa na mme wake au asidekezwe...ni mke wake sio wenu.
Afu cha jabu wanaume ndo wanao ongea maneno hayo, yani ajabu siku hizi wanawake wamekuwa hawana maneo kama wanaume, kweli dunia inaenda kwenye speed za mwisho.
Hivi kudeka kizungu ni nini?
Watu wengine bana.......kama huwezi kuchangia bora kukaa kimya.......hoja ni maana na tofauti kati ya kudeka na kuringa......watu wanajadili mfano uliotumika
Spoiled/ spoilt
Kwa hiyo mapenzi yaweza kuleta kudeaka au maringo?........Au vyote
Naomba nifasilie kudeka, tafadhali.