Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
If that is the case;
Kudeka; Kuhitaji kufanyiwa mambo (mind human limits please) ambayo hata wewe mwenyewe kwa uwezo wako unaweza kufanya
Kuringa;Kujikubali na kujiona wewe ni bora na hii si lazima kujilinganisha na wengine as hapo huzaa kitu inaitwa madhereu
Akosae na abanjwe ukucha!!
HIVI MLIKUWA..WANAUME ..mnajadili MKE WA MSHKAJI WENU..au..mlikuwa wanawake mnamjadili mwanamke mwenzenu???...
just wanna know..coz nadhani kama hoja ni wanaume kumjadili mke wa mshkaji wenu nahisi nyie wanaume mnahitaji kubadilishwa jinsia...na kama ni wanawake mlikuwa mnamjadili mwanamke mwenzenu..hongereni kwa kudumisha mila ya umbea na pia naamini mlikuwa kibaraza cha uani kuleee jikoni mnakopika kwa mkaa mkitupia vijineno vyenu kama haloooo .. halooo ya muhogooo...jang'ombeeeee, laki si pesa milioni lawama...nini kanga ndembendembe wenzie vichaa wa mirembe kanga haiusikiiii.....
AM OUT.
Akosae na abanjwe ukucha!!
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno yalinichanganya na wanywaji wale hawakunisaidia kuelewa japo sikuwa nimelewa. Nini tofauti ya hizi hali na madhara yake?
Nachukia mijitu inayojifanya inajua kama wewe..Simple minds discuss people but great minds discuss issues and events. Shame on you!!
Kuringa na kudeka ni tofauti,kuringa ni kama kujiskia hivi,me napenda kudeka hasa nikiwa mpenzi wangu lakin sio kuringa
Kwenye lv nafikiri ni pale ambapo may be unahitajika kufanya kitu fulani ambacho una weza kabisa kukifanya ila unakua dizain kama una kata kataa hivi ila utakifanya endapo tuu utabembelezwa,, mwisho wa cku ukimbelezwa ukiingia lain ukakifanya I think ndio kudeka kwenyewe huko ila ukibembelezwa na bado ukagoma kufanya hicho unachotakiwa kufanya hicho kitakua ni kiburi ambacho ni dada yake kuringa..Mifano ya kudeka ni ipi?
Kwenye lv nafikiri ni pale ambapo may be unahitajika kufanya kitu fulani ambacho una weza kabisa kukifanya ila unakua dizain kama una kata kataa hivi ila utakifanya endapo tuu utabembelezwa,, mwisho wa cku ukimbelezwa ukiingia lain ukakifanya I think ndio kudeka kwenyewe huko ila ukibembelezwa na bado ukagoma kufanya hicho unachotakiwa kufanya hicho kitakua ni kiburi ambacho ni dada yake kuringa..
what if mumewe anataka mkewe adeke?
what if mumewe anapenda mwanamke mwenye kudeka na kuringa?
binmafsi mwanamke kudeka inani turn on big time.....hata awe kibibi cha miaka sabini lol
Tatizo ni sisi watu tuko judgmental sana hata kama hatuna details za kutosha.
Mazee utawaweza bina adamu walipo ona twiga na shingo ndefu, wakasema lazima washindane naye ana kula majani ya juu vipi wao wale ya chini wakanza kukwea miti ya madafu.what if mumewe anataka mkewe adeke?
what if mumewe anapenda mwanamke mwenye kudeka na kuringa?
binmafsi mwanamke kudeka inani turn on big time.....hata awe kibibi cha miaka sabini lol
Most of pipo wameshakua a fool in lv once ila unfotunately huwa haitokei mara mbili bz it doesn't pay,ukishatendwa thas it,u start play it rough bz thea is nomaly no true lv than the first lv, in other words is fool to be fool twice..watu wa ajabu mno
what is wrong with being a fool in love?