kamau
Member
- Nov 8, 2008
- 11
- 0
Jamaa wawili waifanya interview ya kazi ,bahati nzuri au mbaya wakapata 90% wote wawili na kufungana. Boss akampa kazi yule mtahiniwa wa kwanza.Yule wa pili akaenda kulalamika kwa nini hakupewa kazi na wamepata marks sawa.Boss akamwambia swali la mwisho ameandika I don't know the answer too,ikimanisha alikuwa anafuatilia ya mwnzake one to one na la mwisho akaongezea too