Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Katika mkutano wa kampeni hadharani alionekana mwanasiasa wa chama Cha Jubilee ambaye kwa Sasa ndiye mgombea wa Ugavana wa county ya Mombasa kupitia muungano wa Azimio la Umoja akitupiwa mayai na kudhalilishwa kwa kufokewa na Gavana anayemaliza muda bwana Joho ambaye ni kiongozi mkubwa wa kambi ya ODM, haikuishia hapo alipewa na msuto wa Nguvu na bwana Juneit Mohammad.
Maswali yaliyomo vichwani kwa wafuatiliaji wa siasa za Kenya je Muungano huu ni wa dhati au wa kinafiki na je huko mbeleni nini kitatokea.?
Maswali yaliyomo vichwani kwa wafuatiliaji wa siasa za Kenya je Muungano huu ni wa dhati au wa kinafiki na je huko mbeleni nini kitatokea.?