kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hakuna mtu yeyeto nchini eliyevileta na kuviruhusu vyama vya upinzani nchini ila Mwl. Nyerere rip kwa sababu zake.
Hatuwezi kamwe kusema tunafuata nyao za Nyerere bila kuvikuza vyama vya upinzani viwe kama Mwl. Nyerere alivyokusudia viwe.
Labda Mwl. hakuwaeleza wana-CCM wenzake sababu zipi zilizomfanya aviruhusu vyama vya upinzani vianzishwe Tanzania hata baada 80% ya kura za maoni kuvikataa. na Kama aliwaeleza wote basi ni JK peke yake ndiye aliyekuwa amemuelewa na wengine hawkumuelewa kabisa au hawakukubaliana naye au walimuelewa lakini sasa wanamuasi.
Mwl alisema na kutenda mengi, tunaposema tunafuata nyao zake tuwe specific tunamaanisha kitu gani.