Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Unajua bado hajawa wazi ni upinzani wa namna gani! Unajua kuna ishu za kuchomeana nao ni upinzani halafu pia hao wapinzani wasije kuwa ni vijana wa usalamaMshana jr! Mtoa mada amesema ni wapinzani wake wa kibiashara na kisiasa. Kuna kesi hapo?
Kumekuwa na wimbi la wafanyakaziwasio waaminifu wa kampuni za simu kupewa pesa/kuhongwa na wapinzani wangu kibiashara/kisiasa kudukua mawasiliano ya sms/whatsapp/sauti za wateja wao. Je naweza kuishtaki kampuni na mtu aliyedukua mawasilianoiwapo ninao ushahidi wa kutosha? Kwa sheria ipi hasa? Adhabu yake ni nini? Wajuzi wa sheria naomba msaada.
Ebhana inadukulika hata mm nshajaribu kudukia simu kwa majaribio ikafanaMawasiliano kwa Njia ya WhatsApp hayadukuliki sasa hivi na wahudumu wa mitandao ya simu...
Kama unatumia old version ya WhatsApp unadukulika, ila new version waliyoi-launch few weeks ago haidukuliki maana ni end TO endEbhana inadukulika hata mm nshajaribu kudukia simu kwa majaribio ikafana
Inadukulika aisee, noma sanaKama unatumia old version ya WhatsApp unadukulika, ila new version waliyoi-launch few weeks ago haidukuliki maana ni end TO end