Kudukuliwa kwa mfumo wa kompyuta ktk uchaguzi wa kenya, tujifunze nini uhesabuji wa kura kwa njia ya Electronic?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
 
Kama time inachaguliwa na ccm hata ukipewa elimu ya chuo kikuu huwezi kujifunza Kenya na Ghana inafuata south Africa ni mataifa ya kidemocrasia Tanzania hadi 50yrs ndo Uhuru wa Mahakama uwepo ndipo tutapata katiba ya ki taifa siyo Leo.
 
Tanzania hakujafanyika uchaguzi hata mara moja. Huo unaofanywa ni uchafuzi .
 
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
Ndivyo hasa ilivyokuwa 2015 hapa
 
Uhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.
 
Ujifunze kwani mna huo mfumo? Tafuteni tume huru kwanza kabla ya kuanza kufikiria huo mfumo.
 
Uhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.

Tume huru zipo kwenye baadhi ya nchi . Na zinakubaliwa na vyama vyote . Huwa hazichaguliwi na chama tawala kama TZ
 
Uhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.
Hata Marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?Sijaelewa logic yako
 
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?

Jee hakuna uwezekano wa Uhuru Kenyatta kukata rufaa ??
 
Hata Marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?Sijaelewa logic yako
nadhani umeamua kuchagua kutonielewa na ni vigumu sana kubadilishana mazungumzo na mtu ambaye tayari anaomsimamo wake.
 
Back
Top Bottom