Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Acha utani bana, tupo kwenye elimu ya uraia na demokrasia
Kama time inachaguliwa na ccm hata ukipewa elimu ya chuo kikuu huwezi kujifunza Kenya na Ghana inafuata south Africa ni mataifa ya kidemocrasia Tanzania hadi 50yrs ndo Uhuru wa Mahakama uwepo ndipo tutapata katiba ya ki taifa siyo Leo.
Ndivyo hasa ilivyokuwa 2015 hapaHivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
Uhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.
Hata Marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?Sijaelewa logic yakoUhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.
Hivi punde mahakama ya juu nchini Kenya imeridhia ombi la Muungano wa NASA kuwa uchaguzi ulivurugwa. Je tujifunze nini na tuboreshe nini kwenye njia za uhesabuji wa kura kwa njia ya kiteknolojia ya electronic ili kosa hili lisitokee ktk nchi nyingine zinazopigia upatu mfumo huu?
Vijama wa IT ni upinzani, umesahau? Muulize @jericko.Tujifunze nini wakati wanaodukua ndiyo hao hao wanaoandaaa!
Vijama wa IT ni upinzani, umesahau? Muulize @jericko.
nadhani umeamua kuchagua kutonielewa na ni vigumu sana kubadilishana mazungumzo na mtu ambaye tayari anaomsimamo wake.Hata Marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?Sijaelewa logic yako
Hivi yupo huyu Jamaa?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
Kama time inachaguliwa na ccm hata ukipewa elimu ya chuo kikuu huwezi kujifunza Kenya na Ghana inafuata south Africa ni mataifa ya kidemocrasia Tanzania hadi 50yrs ndo Uhuru wa Mahakama uwepo ndipo tutapata katiba ya ki taifa siyo Leo.
Avota yako inaakisi akili yako unaonekana unatumia uji kufikiri for sureUhuru wa tume upo kwa yule aliyeshinda pekee. hakujawahi kuwepo tume huru katika uchaguzi wowote duniani. marazote upande unaoshindwa lazima uwe na malalamiko.
Achana nae mchumia tumbo Hugo lhajielewiHata Marekani, uingereza, ujerumani, ufaransa nk?Sijaelewa logic yako