Lucy colin
New Member
- May 21, 2015
- 1
- 0
Ndoa njema hufanikiwa kukiwa kuna furaha na maelewano. Lakini mapenzi yanachanguwa sana na tendo la ndoa. Wanandoa wengi wataelewa ya kwamba tendo la ndoa linaweza kuwa haliridhishi ndo maana watu wengi huwa wanachepuka. Ni tiba gani wanaume wanaweza kutumia kusaidia adumu zaidi katika hilo tendo?